Coles

Loading Inventory...
Upasuaji Salama Afrika: Changamoto na Suluhisho

Upasuaji Salama Afrika: Changamoto na Suluhisho in Brampton, ON

By None

Current price: $4.06
Visit retailer's website

Size: Kobo eBook

Visit retailer's website
*Product information and pricing may vary - to confirm current pricing, availability, shipping, and return information please contact Coles. In the event of a pricing discrepancy, the retailer's price will apply.
Ingawa karibu kila mtu atahitaji upasuaji maishani mwake, asimilia 95 ya wanaoishi barani Afrika hawawezi kupata upasuaji na ganzi katika hali salama na kwa bei nafuu. Watu wengi hufa baada ya upasuaji kuliko kutokana na Virusi vya Ukimwi (VVU), kifua kikuu, na malaria kwa pamoja. Barani Africa, watu wazima wana uwezekano mara mbili kufariki baada ya upasuaji, na kwa watoto nambari hiyo hupanda hadi mara kumi na moja. Akina mama ambao wanahitaji upasuaji ili kujifungua wako kwenye hatari zaidi: kiwango cha kifo ni mara hamsini zaidi kuliko walio katika nchi za kipato cha juu. Vifo hivi vingi huwa havitokei katika chumba cha upasuaji, bali hutokea kwenye wodi kipindi cha kupona. Kupitia utafiti wa kina na simulizi za kibinafsi kutoka kwa madaktari mbalimbali barani Afrika, Profesa Bruce Biccard anatoa historia ya vifo vinavyohusiana na upasuaji, anaeleza hali ilivyo ya upasuaji barani Afrika, na anaibuka na mifumo miwili ya kuimarisha huduma za upasuaji na matokeo yake. Kwa bahati, suluhisho hizi ni rahisi na za bei nafuu, lakini utekelezaji haujawahi kuwa rahisi; hata usafi wa msingi tunaouchukulia kwa urahisi uliwahi kupingwa kwa wakati mmoja. Hivyo basi, Bruce anawasilisha manifesto kwa afya ya upasuaji, na anatuonyesha jinsi ya kuifanya dunia mahali penye siha zaidi.

More About Coles at Bramalea City Centre

Making Connections. Creating Experiences. We exist to add a little joy to our customers’ lives, each time they interact with us.

Find Coles at Bramalea City Centre in Brampton, ON

Visit Coles at Bramalea City Centre in Brampton, ON
Powered by Adeptmind